With wanawataka waalimu kwakuwa wanatabia hizi.
1. Si waongeaji sana wala
Walalamishi.
2. Wengi wao hawana makuu i .e
Hawapendi anasa
3. Wengi bado hawajaijua dunia ktk
Maisha ya starehe, kwakuwa
Walimaliza form four wakaenda
Straight chuo na kule ni mwendo
Wa maadili, so awe muislam au mkristo atakuwa mchaMungu tu.
4. Bado hawajatanuka kimawazo, ila