Mke wa kisasa

kama malengo ya wanawake yangekuwa hayo...basi wanawake wengi wangekuwa wasela tu, wanaume waoga sana kuoa mwanamke mwenye kipato kikubwa.......
 
Wanawake dizaini hiyo ukioa ni wagumu kutoa papuchi muda wote wako busy.
 
kama malengo ya wanawake yangekuwa hayo...basi wanawake wengi wangekuwa wasela tu, wanaume waoga sana kuoa mwanamke mwenye kipato kikubwa.......
NO. hujamuelewa, ndoto zake ni kushirikiana na mumewe ili wawe matajiri ndo maana ikaandika rich wife, not rich woman
 
Ukitajirika inakuwaje sasa! Si utaanza tena kutafuta mume?
 
Safi sana mke wa kisasa anahitajika ktk jamii ya sasa
 
kama malengo ya wanawake yangekuwa hayo...basi wanawake wengi wangekuwa wasela tu, wanaume waoga sana kuoa mwanamke mwenye kipato kikubwa.......

Umenukuu vibaya dada yangu.
Yeye anataka kuwa MKE (wife) tajiri, sio MWANAMKE (woman) tajiri. Kuna tofauti ya MKE na MWANAMKE.
 
My biggest life wishes...Ni mawili either am rich or a rich man marries me....yani hapa Mungu niangalie..shida sizipendiii jamanii
 
hapo utapangiwa hata masaa ya kupiga papuchi!na yakifika akiwa na miadi ya dili siku hiyo sahau!
 
asanteeeeee hahahahaha.....umemaliza my dear!!!!
kama malengo ya wanawake yangekuwa hayo...basi wanawake wengi wangekuwa wasela tu, wanaume waoga sana kuoa mwanamke mwenye kipato kikubwa.......
 
mimi nafocus kuwa mwanamke tajiri ila najua wanaume watanikimbia sana tu ,,,
 
Yaan haka kaujumbe mimi nimekapenda sana maana am struggling to be a rich wife always , responsible wife and mother baaas!
 
My biggest life wishes...Ni mawili either am rich or a rich man marries me....yani hapa Mungu niangalie..shida sizipendiii jamanii

What about a small house of a rich guy?
 
kama malengo ya wanawake yangekuwa hayo...basi wanawake wengi wangekuwa wasela tu, wanaume waoga sana kuoa mwanamke mwenye kipato kikubwa.......

Sasa mimi siwaelewi, mkikutana na wapenzia marioo mnawasema, kina marioo wakiwachunia mnawasema wanaogopa.
 
My biggest life wishes...Ni mawili either am rich or a rich man marries me....yani hapa Mungu niangalie..shida sizipendiii jamanii

Kuna asset kubwa huwa mnaisahau, afya.
Ukiwa rich halaf incapacitated ni majanga tu.
 
Dont undermine all men. Kila mtu anapewa wa kufanana nae. Mwanaume muoga wa maisha, asiependa challenges ndio ataogopa mwanamke independent. Wanaume wapo walio strong, una hela zako na bado ukirudi nyumbani unakuwa mke. Unaingia jikoni, unapika, unasimamia nyumba kwa utaratibu mliojiwekea na mnakuwa na maisha ya furaha tu!
kama malengo ya wanawake yangekuwa hayo...basi wanawake wengi wangekuwa wasela tu, wanaume waoga sana kuoa mwanamke mwenye kipato kikubwa.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…