Mke wa Khamenei ni mzima?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,126
Reaction score
24,424
Mama wa Taifa la Iran ni mzima kabisa

Hayo yamethibitishwa na vyombo vya habari ya Iran

At the Same media za Iran zimechapisha video ya kutengebeza inayosema "Khamenei is back"

BREAKING:

Wife of Ayatollah Ali Khamenei is alive, Iranian state media confirms.
 
Ile taarifa tulikuwa tumepewa niya uongoo
 
Hapana,Iran wenyewe walitangaza kuwa aliuawa na mmewe
 
Iran wenyewe waongo waongo tuu kila siku wanazusha mambo sa ivi wamebakiza vita ya mipasho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…