Mke wa boss ananisumbua

Binti tz

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2026
Posts
421
Reaction score
852
Kanieleza kuwa ananitaka na kanieleza kuwa nikimkataa atanishtaki kwa boss kuwa namtongoza. sijui nifanyaje sijui niache kazi ama liwe liwalo.

Mke wa boss kimuonekano anavutia balaa na anaonekana ni kama ana upwiru. na amenita leo usiku kwake mme wake hayupo kapata safari kasafiri.kwake na kwangu sio mbali sana.

Ila tatizo naogopa mke wa mtu sijui nifanyaje.
 
Mhhh
 
Jiandae kuchafulishwa mashuka
 
Asante kwa taarifa
 
Jamaa yangu anasema wanawake wote anaowatamani na anajua hawezi kuwapata keshawala kwa njia ya kuwanyetukia
 
Hapo usipo mla yeye basi jua utaliwa wewe kaza ichape Kwa kuikamia 100000% saw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…