Mke vs Mchepuko

Lady of Destiny1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2019
Posts
588
Reaction score
869
Hii nimeicopy mahali nikaona acha nishare na wapendwa wa humu

TOFAUTI KATI YA MKE NA MCHEPUKO

Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu.
Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu.

Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrefu unacheza na simu yako.

Tv ni bure kwa maisha yako yote, lakini Simu kama hujalipia hupati huduma.

Tv ni kubwa nzito na wakati wote ni ya zamani. Lakini simu ni nzuri, nyembamba, na ni rahisi kubeba.

Gharama za huduma za tv ni ndogo sana, Lakini gharama za huduma za Simu ni kubwa na pia ni lazima kuzitimiza.

Tv ina remote lakini Simu haina.

Kitu muhimu zaidi simu ina njia mbili za kuwasiliana unaongea na unasikiliza lakini Tv unalazimika kusikiliza hata kama hutaki au unataka.

Unaweza kununua Tv mara moja na ukatumia kwa kipindi kirefu lakini Simu mara zote unabadilisha inategemea na fasheni.

Ya mwisho na ya kuzingatia

Tv haina Virusi lakini Simu inayo.

Kuwa makini
 
Isee umejitahidi kweli kwenye uandishi wako...big up sana.....sema mchepuko wanasemaga ni tamu kuliko mke cjui nyie wanawake wa ndoa huwa mnakwama wapi au ndo mnachukulia poa kwakuwa ulishasema pale kanisani mtashikamana katika shida na raha na hakuna wa kuwatenganisha zaidi ya kifo...MY DEAR AMKA USIKUBALI KUWA CHOMBO KISICHOTHAMINIWA HEBU MFANYE MMEO AKUONE WW NI ZAIDI YA WENGINE YAANI HATA KAMA AKICHEPUKA HUO MCHEPUKO AUONE WA LEVEL YA CHINI KUSHINDA WW NA UTAONA MAPENZI YANAZIDI....

Wanaume tunachepuka lakini tukiona tunayechepuka naye anashoo mbovu kuliko mmiliki huwa hakunaga second chance Ila kama mke ukizidiwa na mchepuko utapata TABU SANA!!!!!
 
Simu ina raha yake simu ina manjonjo na mautundu kibao yaliyo kwenye TV yapo kwenye simu ila yaliyopo kwenye simu hayapo kwenye TV simu ndio mpango mzima
 
Ha ha ha njoo uwe mchepuko wangu,lakini usinipige mizinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…