golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Haya hebu ni-pm tuanze mchakato. 🙄
Niachie Mafikizolo wangu tafazali
Hii ni serious, kama haupo serious naomba usijaribu kuchezea akili za watu.Soma tu na kupita.Usije ukasema nikupm halafu hakuna reaction yeyote.Samahani zingatia hilo
We umeibukia wapi kwan umeambiwa mie msagaji hadi niwe nae........ Mafikizolo ni zaid ya rafiki yangu hivo sikuona ugumu wa kummention kama n wako wako akiwa chumbani akitoka nje si wako huyo
Vigezo nimeviona
Uniwachie demu wangu Mafikizolo apumuzike miaka mia.
Kama umeviona unasubiri nini? hebu kuja PM haraka.
Angalia kwenye inbox yakoNi pm tafazali