Habari yako kaveli?Huwa naishia kutoa macho kodooo kwenye hiyo avatar yako, badala ya kusoma maandishi yako.
-Kaveli-
Poa kabisa.Salama kabisa mamy. Niaje wewe?
-Kaveli-
hahaaa mfanye hivyoWaaaoooh! Itabidi kutembelea mitaa hiyo.
Haya twaja huko.hahaaa mfanye hivyo
Oooh!! Thats god to hear.Nakumiss sana Espy.
-Kaveli-
Ama kweli maana huku mtaani ni kama endangered speciesTupo makumbusho. [emoji38]
Inawezekana wakakosekana kabisa.1. Akuzidi cheo,
2. Akuzidi elimu,
3. Akuzidi mshahara,
Na bado anaendelea kuwa mnyenyekevu kwako. Brother! Kwenye 10 wamo wawili tu