Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,487
- 11,726
Kila la kheri !!!
Kila la kheri !!!
Kuna huyu newoverhere alikuwa anatafuta mtu wa kumuoa labda mcheki kama nafasi bado iko waziwadau nahitaji kuoa sasa. Umri
umetosha, kazi nimepata sasa nahitaji
kuanzisha familia. Nina 28 yrs naomba
mdada aliye tayari na serious ani Pm.
Nasistiza mwenye nia ya dhati plz sio
wale wa kutaniana na awe tayari kuingia kwenye ndoa ndani ya mda
mfupi. Staki uchumba wa miaka 3 eti
mnachumbiana.
Karibu
Kuna huyu newoverhere alikuwa anatafuta mtu wa kumuoa labda mcheki kama nafasi bado iko wazi
Usijali nimemmention ataona uzi wakonimesach sjamuona, pengne amepata tayar
Usijali nimemmention ataona uzi wako
wadau nahitaji kuoa sasa. Umri
umetosha, kazi nimepata sasa nahitaji
kuanzisha familia. Nina 28 yrs naomba
mdada aliye tayari na serious ani Pm.
Nasistiza mwenye nia ya dhati plz sio
wale wa kutaniana na awe tayari kuingia kwenye ndoa ndani ya mda
mfupi. Staki uchumba wa miaka 3 eti
mnachumbiana.
Karibu
Ebu ambatanisha na salary slip ili kuwavuta zaidi..