Ahsante sana mkuu. Haitakiwi kukata tamaa. Jambo la msingi ni kumtumainia Mungu tu .Aisee pole sana, mkuu kupata mwanamke ni kazi mno, baadae nimekuja kugundua huwezi jua utaoa mwanamke yupi pia nimegundua unakaa unasitukia umejipatia mke mwema na mzuri aisee..
MuislamuDini yako
Mara ya kwanza hakuna hata mmoja aliyejitokeza? Mbona kama kanuksi...Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 34. Mimi ni msomi ngazi ya Master's Degree. Mie ni mkazi wa Dar na ni Mtumishi wa Umma. Tangazo hili sio jipya nimeamua kulirudia tena kwa sababu sijampata ninayempenda. Ninahitaji mwanamke mwembamba mrefu akiwa mweupe au mweusi yote sawa. Umri kuanzia miaka 25-30 . Sibagui dini wala kabila. Kwa aliye tayari tuwasiliane kupitia 0692490341. Meseji zitajibiwa. Karibuni sana.
Nitamuonesha Naifii tangazo lakoMuislamu
Siwezi kufake life coz I'm not dramitizing here. Hayo maisha wanayaweza wasanii kaka. Kuuvaa uhusika usiokuwa wako inahitaji ujasiri wa aina yake.Mara ya kwanza hakuna hata mmoja aliyejitokeza? Mbona kama kanuksi...
Ulichokosea ni kusema una Masters afu wewe ni mtumishi wa uma. Kijeiefujeiefu, Masters na utumishi wa uma sio big deal... Ungesema una miliki mamilioni ya mahela na dushe kubwa kama la jogoo, ungekutana na foleni moja balaa la wachuchu...
Dunia imebadilika jombaa...
Pamoja sana mkuu.Kila la kheri mkuu
HahahhaMara ya kwanza hakuna hata mmoja aliyejitokeza? Mbona kama kanuksi...
Ulichokosea ni kusema una Masters afu wewe ni mtumishi wa uma. Kijeiefujeiefu, Masters na utumishi wa uma sio big deal... Ungesema una miliki mamilioni ya mahela na dushe kubwa kama la jogoo, ungekutana na foleni moja balaa la wachuchu...
Dunia imebadilika jombaa...
Hapana kuwa na amani kabisa. Mie naamini katika moyo mmoja mwanamke mmoja. Karibu sna.Uke wenza Kama nauona vileeeeee
mnaanzaga Hivyo Ila Mwisho ni....Hapana kuwa na amani kabisa. Mie naamini katika moyo mmoja mwanamke mmoja. Karibu sna.
Dada fursa hiyoHahahha
Ila we mzee nimecheka sana
Fursa hiyo dada itumie vemamnaanzaga Hivyo Ila Mwisho ni....
Pole dada ulimtumia picha hajakuelewa? huenda haukumvutia jaribu tena bahati yakoHaya mambo ya kusema hujapata unaemtaka.
Hivi wanawake wamegeuzwa km nguo za kariakoo sio?
Yaani umefaidi hiko pm mapichapicha ya wadada wa watu leo hii wanaona post ingine eti sijaridhika!
By the way this tym utaokota nazi mbovu zaidi.
Mimi nimefunga get I sitaki ujinga wa hivo.Pole dada ulimtumia picha hajakuelewa? huenda haukumvutia jaribu tena bahati yako
Ulijaribu ukatuma na picha kabisa? Mjukuu unajua kujilipua ... shkamoo sanaHaya mambo ya kusema hujapata unaemtaka.
Hivi wanawake wamegeuzwa km nguo za kariakoo sio?
Yaani umefaidi hiko pm mapichapicha ya wadada wa watu leo hii wanaona post ingine eti sijaridhika!
By the way this tym utaokota nazi mbovu zaidi.