Mke mwema anahitajika Sanaa. Awe baby sifa hizi
1. Mkristo au mwislam aliyetari kuwa mkristo preferably mpentekoste
2. Elimu sio kigezo ila awe na akili nyingi za maisha
3. Awe Ni mwanamke mwenye kuipenda na kuthamini ndoa awe tayari kuishi kwa ndoa ya kikristo pamoja na utamaduni was nyanda za juu kusini Kama haujui awe tayari kujitunza
4. Awe tayari kukaa nyumba ya kuoanga vyumba viwili kimara au magomeni
5.awe Ni mtu anayejipenda, kujithamini, na kujijali ili aweze kupenda wengine.
6. Asiwe mvivu was kazi za shamba,kufuga na za nyumbani
6. Rangi zote sawa ila awe mwenye kujitizama vizuri bila make up na ajue kujiona mwenyewe Ni mzuri
7. Anaweza kutoka popote ila was nyanda za juu kusini itapendeza zaidi.
8. Awe mtu asiye na visasi na familia yake mwenyewe au watu wanaomzunguka.
Kama mtu wa namna hii yupo na nahitaji mume wa kumuoa kwa mke mmoja na kuishi maisha ya kibiblia
Na kitanzania na hasa utamaduni was nyanda za juu kusini