Mke Muislam anatafutwa

Nenda somalia

Huu sio uungwana kabisa,kama huna ushauri,kwanini umkejeli mwenzio?

Wangapi humu ndani wametafuta wake/marafiki wamepata?
Na hawakuambiwa waende Italian/Israel/Facebook na twiter?

Usitende jambo usilopenda kutendewa.
 
Povu jiiingi njoo nikufute
 
Baada ya ndoa mtahamia Somalia kutimiliza "sharia" poa tu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…