mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 619
Mkuu ebu jitambulishe tafadhali ili tukujue japo kiduchu..
mkuu sijakuelewa utambulisho upi unahitaji
Unatafuta mke wa kuoa au msichana?? Maana ni vitu viwili tofauti
Age yako,ulipo,kabila,unafanya kazi au biasharaa,una watoto wanje au ulishawahi kuoa mwanzo ...
nabint wa kiislam mupo?
Tupooooo
mumeolewa wote au ndo hamutaki ndoa?
Hatujaolewa wote, na ndoa tunazitaka
hatujaolewa wote, na ndoa tunazitaka
umeachika lini bi dada?
mfate PM dada kila kitu ni makubaliano na maelewano endapo mtashindwana una muweka kando