Mke bora

kalikalanje

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
227
Reaction score
285
Jamani nisaidieni mke wangu ana uadui mkubwa na mamaangu kisa alipochepuka mama hakupenda nimsamehe mke wangu na niendelee kuishi nae na tuna watoto wawili jamani nifanyeje?
 
Sikiliza hisia zako.....
 
sasa mkuu mbona hueleweki. umeanzisha post upo uk unaogopa kuja kuoa bongo,sasa apa tena unasema una mke! ukiwa muongo uwe na kumbukumbu, MWEUSI!

Ana akili za kuvukia barabara baaaaasi
 
Jamani nisaidieni mke wangu ana uadui mkubwa na mamaangu kisa alipochepuka mama hakupenda nimsamehe mke wangu na niendelee kuishi nae na tuna watoto wawili jamani nifanyeje?

Uk umesharudi?! Pumba.vuuuu
 
kwa imani yetu waislam mke bora ni yule alieshikamana na kitab(qur,an) na sunna(hadith za mtume swala llahu alaihi wasalaam) mke bora hata siku moja hawez kugombana na mkwewe lzm ye ajishushe tu...Pia kama mzazi nae amezd ukorof uwe makini coz kila utakaeoa utamuacha kwa ,ajili yake jambo hili pia halipendez .....Kuwa mchunguz mkuu utajua 2 tatizo lipo wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…