EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 3,701
- 6,441
Mke mmoja aliulizwa:
Ni kipi kimemfanya mumeo akupende kiasi kwamba asione yeyote mwengine duniani wa kumsifia ila wewe, Ilhali wapo wenye uzuri kukuliko?
Akajibu
Hakika sikuwa mzuri wala sina uzuri wa kumfanya awe hivyo unavyosema.
Ninachofahamu ni kuwa:
Nimuonapo mume wangu anakuja au aniangaliapo usoni hutabasamu na kukunjua sura yangu.
Anapokuwa na jambo humsikiliza kwa umakini na huacha yote nimtekelezee aloniagiza ingawa nilikuwa na ya muhimu mengine.
Anaponipatia kingi au anileteapo zawadi humsifia na kuisifu zawadi hiyo hata ikiwa sio katika ninavyovipenda.
Anapokosa kikubwa akaniletea zawadi ndogo mfano wa pipi hutosheka na humuombea apate mengi na makubwa zaidi.
Humfanya yeye ndiye wa kwanza nyumbani kabla ya watoto na wengine wote.
Simkati neno hata kama sipendi kulisikia
Ni kipi kimemfanya mumeo akupende kiasi kwamba asione yeyote mwengine duniani wa kumsifia ila wewe, Ilhali wapo wenye uzuri kukuliko?
Akajibu
Hakika sikuwa mzuri wala sina uzuri wa kumfanya awe hivyo unavyosema.
Ninachofahamu ni kuwa:
Nimuonapo mume wangu anakuja au aniangaliapo usoni hutabasamu na kukunjua sura yangu.
Anapokuwa na jambo humsikiliza kwa umakini na huacha yote nimtekelezee aloniagiza ingawa nilikuwa na ya muhimu mengine.
Anaponipatia kingi au anileteapo zawadi humsifia na kuisifu zawadi hiyo hata ikiwa sio katika ninavyovipenda.
Anapokosa kikubwa akaniletea zawadi ndogo mfano wa pipi hutosheka na humuombea apate mengi na makubwa zaidi.
Humfanya yeye ndiye wa kwanza nyumbani kabla ya watoto na wengine wote.Simkati neno hata kama sipendi kulisikia
miaka mia duuu!!