Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,040
- 2,009
Typing errorHapo namba 2. vipi?
Kwenye title umesema awe Mhaya kwa kabila lakini kwenye maelezo umeandika awe Mha.
Usahihi ni upi?
Sent using Jamii Forums mobile app
deploma, degreeeNdio maana zero hazii mashuleni. Mfanyakazi wa sekta ya elimu anaandika "sertificate".
Soma tena uzi wako urekebishe angalau makosa kumi miongoni mwa mengi yaliyopo then uulete tena.Nianze kwa kuwasalimu wote kwa upendo wa dhati kutoka moyoni mwangu.Niombe samahani kwa huu uzi wangu ambao umelenga kabila fulani.
Nina sababu maalum kufanya hivyo wala sio suala la kuendekeza ukabila.Mm ni muislam mwenye umri wa miaka 35 ,natafuta mchumba atakaekuwa mke kabila tajwa hapo juu.
Elimu yangu ni bachelor na ni mijiriwa serikalini katika idara ya elimu.Makazi yangu nilkoajiriwa ni mkoa wa Tanga.Mwanamke ninae mtafuta awe na vigezo vifuatavyo:
1.Awe muislam atakae kubali kufuta sheria zote anazomrisha Mungu kufuata kama mwanamke
2.Awe mha kikabila
3.Awe mrefu wa wastani
4.Awe na elimu ya kuanzia sertificate,deploma na degreee.
5.Asiwe na mtoto.
6.Awe na umri kuanzia miaka 24-30.
7.Awe na malengo ya kuolewa na sio kubip ndoa ,kwani mimi ni mtafunwa wa nyoka kwahiyo hata nikiona mjusi nashtuka.
Atakae kuwa tiyari kwa vigezo ivyo namkaribisha PM tuyajenge.Angalizo: Kwangu dini ni msingi wa maisha yangu ndoo kitu ninachoamini zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]Elim imenikosesha mme.Nianze kwa kuwasalimu wote kwa upendo wa dhati kutoka moyoni mwangu.Niombe samahani kwa huu uzi wangu ambao umelenga kabila fulani.
Nina sababu maalum kufanya hivyo wala sio suala la kuendekeza ukabila.Mm ni muislam mwenye umri wa miaka 35 ,natafuta mchumba atakaekuwa mke kabila tajwa hapo juu.
Elimu yangu ni bachelor na ni mijiriwa serikalini katika idara ya elimu.Makazi yangu nilkoajiriwa ni mkoa wa Tanga.Mwanamke ninae mtafuta awe na vigezo vifuatavyo:
1.Awe muislam atakae kubali kufuta sheria zote anazomrisha Mungu kufuata kama mwanamke
2.Awe mha kikabila
3.Awe mrefu wa wastani
4.Awe na elimu ya kuanzia sertificate,deploma na degreee.
5.Asiwe na mtoto.
6.Awe na umri kuanzia miaka 24-30.
7.Awe na malengo ya kuolewa na sio kubip ndoa ,kwani mimi ni mtafunwa wa nyoka kwahiyo hata nikiona mjusi nashtuka.
Atakae kuwa tiyari kwa vigezo ivyo namkaribisha PM tuyajenge.Angalizo: Kwangu dini ni msingi wa maisha yangu ndoo kitu ninachoamini zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole ukhty,huyo mwenye elimu mwenyew anatia mashaka ππ
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji849][emoji849][emoji849][emoji468][emoji468][emoji468]Pole ukhty,huyo mwenye elimu mwenyew anatia mashaka [emoji16][emoji23]
habari umeshapata huyo mke au bado kama bado plz nicheki kwa namba hzi 0718616236. nina vigezo vyote utakavyo.Nianze kwa kuwasalimu wote kwa upendo wa dhati kutoka moyoni mwangu.Niombe samahani kwa huu uzi wangu ambao umelenga kabila fulani.
Nina sababu maalum kufanya hivyo wala sio suala la kuendekeza ukabila.Mm ni muislam mwenye umri wa miaka 35 ,natafuta mchumba atakaekuwa mke kabila tajwa hapo juu.
Elimu yangu ni bachelor na ni mijiriwa serikalini katika idara ya elimu.Makazi yangu nilkoajiriwa ni mkoa wa Tanga.Mwanamke ninae mtafuta awe na vigezo vifuatavyo:
1.Awe muislam atakae kubali kufuta sheria zote anazomrisha Mungu kufuata kama mwanamke
2.Awe mha kikabila
3.Awe mrefu wa wastani
4.Awe na elimu ya kuanzia sertificate,deploma na degreee.
5.Asiwe na mtoto.
6.Awe na umri kuanzia miaka 24-30.
7.Awe na malengo ya kuolewa na sio kubip ndoa ,kwani mimi ni mtafunwa wa nyoka kwahiyo hata nikiona mjusi nashtuka.
Atakae kuwa tiyari kwa vigezo ivyo namkaribisha PM tuyajenge.Angalizo: Kwangu dini ni msingi wa maisha yangu ndoo kitu ninachoamini zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann usingeenda pmhabari umeshapata huyo mke au bado kama bado plz nicheki kwa namba hzi 0718616236. nina vigezo vyote utakavyo.
Poa nitakuchekhabari umeshapata huyo mke au bado kama bado plz nicheki kwa namba hzi 0718616236. nina vigezo vyote utakavyo.