Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Mara nyingi Mungu huwajaza HEKIMA na Huwaepusha na MABALAA tunayo toka nayo kwa MICHEPUKO wetu..kuowa mwanamke asiyekwenda shule raha sana
ukitaka kwenda kwa mchepuko wako maongezi yanakuwa hivi
mke- safari ya wapi mume wamgu
mume- naenda mwanza kubadilisha profile picture mke wangu
mke- safari njema mume wangu mungu akulinde na mabaya njiani
mme- asante sana mke wangu baki salama
Wengi sana mkuu.Hivi ni kweli kuna watu hawafahamu maana ya profile picture katika zama hizi za utandawazi?
Bugulu!Hivi ni kweli kuna watu hawafahamu maana ya profile picture katika zama hizi za utandawazi?
Mbona mchezo wa karata tatu mpaka Leo watu wanaucheza pamoja na kufahamika kote kuwa ni wizi wa waziHivi ni kweli kuna watu hawafahamu maana ya profile picture katika zama hizi za utandawazi?
Wapo mkuuHivi ni kweli kuna watu hawafahamu maana ya profile picture katika zama hizi za utandawazi?