HELB ni kigezo wallah..Mke anatafutwa wa kupanga nae maisha
Age: 18- 27
Education ata list ajue maesabu ya pesa + na - awe anaweza kuwa business idea
Dini ; Muslim ambaye anajitambua na hofu ya mungu
Awe mrefu plz na colour maji ya kunde sio black
NB ukiwa amesoma asiwena mkopo wa elimuya juu
Mambo rebecca?Kapotea wapi jamani?
Mwanamke ndiye mwenye 'shida' , ya kuolewaAma mnadhani wao wanataka mwanaume yoyote mwenye uume?
Hata kama ana shidamwanamke ndiye mwenye 'shida' , ya kuolewa
matumizi unayajua... KWANI HELB hujui wanakopesha hela za nini..!! Anatafutwa REDI MEDI....Muhimu sana sio tunaanza maisha tunalipa madeni ambayo sijui matumizi yake