Mwalimu-Mkuu Member Joined Feb 22, 2013 Posts 75 Reaction score 205 Apr 4, 2015 #1 Nina umri wa miaka 29,nina elimu ya Shahada,mkristo.Natafuta mchumba awe na umri wa miaka kati ya 20-27,mwenye upendo wa dhati,mcha Mungu(Mkristo) mengine tutayajadili baadaye. Kama unavigezo na uko tayari tafadhali ni PM. Asanteni
Nina umri wa miaka 29,nina elimu ya Shahada,mkristo.Natafuta mchumba awe na umri wa miaka kati ya 20-27,mwenye upendo wa dhati,mcha Mungu(Mkristo) mengine tutayajadili baadaye. Kama unavigezo na uko tayari tafadhali ni PM. Asanteni