little hulk JF-Expert Member Joined Jun 20, 2014 Posts 1,610 Reaction score 558 Nov 19, 2015 #21 kama unataka kuendelea kuwa na mke mwongo, mke mchafu endelea kulalamika tu..... we endelea na maisha yako like fufua wale wa kale akuondoe ktk stress za namna hiyo.... kama hatobadilika achana nae
kama unataka kuendelea kuwa na mke mwongo, mke mchafu endelea kulalamika tu..... we endelea na maisha yako like fufua wale wa kale akuondoe ktk stress za namna hiyo.... kama hatobadilika achana nae
habari ya hapa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 12,788 Reaction score 8,755 Nov 19, 2015 #22 westjunior said: Lazima yy na mama yk wana siri kubwa ambayo ww hauijui na hauto ijua mpk nikwambie.mama yk na mkeo ni wachawi kwa hy luck hufanya kazi pa 1 na hatoweza watenganisha acha woga. Fanya maamuzi yk alafu wao waache wafanye yao Click to expand... Aisee wewe! Utakuwa mchawi pia ww umewajuaje
westjunior said: Lazima yy na mama yk wana siri kubwa ambayo ww hauijui na hauto ijua mpk nikwambie.mama yk na mkeo ni wachawi kwa hy luck hufanya kazi pa 1 na hatoweza watenganisha acha woga. Fanya maamuzi yk alafu wao waache wafanye yao Click to expand... Aisee wewe! Utakuwa mchawi pia ww umewajuaje
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,491 Reaction score 171,031 Nov 19, 2015 #23 Muachie mama awe msemaji mkuu kwenye hiyo ndoa yako make "ukishindwa unasaidiwa"
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,195 Nov 19, 2015 #24 sasa kwanini na wewe ulimpa mimba mwanamke ambae hakupendi?!
mizarb JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 1,402 Reaction score 1,290 Nov 19, 2015 #25 pole mkuu, mapungufu yake hayo ni mazito kuyavumilia...... kama hakupendi huyo hakufai, mwache aishi na mama then fanya maisha yako mengine
pole mkuu, mapungufu yake hayo ni mazito kuyavumilia...... kama hakupendi huyo hakufai, mwache aishi na mama then fanya maisha yako mengine
tanje JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 251 Reaction score 41 Nov 19, 2015 #26 Buuaaa kajiwekea ulinz wa kudumu
mwampepec JF-Expert Member Joined Mar 22, 2013 Posts 486 Reaction score 237 Nov 19, 2015 #27 Take heart
N Ngwananzengo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2012 Posts 1,911 Reaction score 1,322 Nov 20, 2015 #28 Duuuhh, yanasemwa na mwanaume haya?