esitena tetena
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 1,747
- 1,082
No offense but, Mama yako ndio mume kwenye hiyo ndoa ya utatu.
MKUU, WEWE UMESHENA WIVU !! HEBU PUNGUZA KUMCONTROL HUYO BINTI!! MPE NAFASI AFANYE KAZI MOJA BAADA INGINE.... ( yaani akutunze wewe, angalie usafi wa nyumba, amhudumie mama,achati, aongee na jirani...mmmmh ) happo kazi tu !! "give her a break!!
Uchafu like hasafishi barabara au?
Barabara ipi tena mkuu??,Watu mna mambo nyie duh!!.
Yani mwanamke akishakua mchafu tu,sitamani hata kumuangalia.