Mke anahitajika

hide

Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
75
Reaction score
67
Mimi mwanaume wa kitanzania nina umri wa miaka 31 kwa sasa . nimeamua kuomba kwa yoyote aliye tayari kuanzisha uhusiano nami tuwasiliane
Mimi nina Elimu ya chuo kikuu na nimeajiriwa , nahitaji mwanamke wa kuwa mke wangu wa maisha mengi nitaongea naye hapo tutakapo onana
Sifa za Mwanamke anayehitajika Awe Mwenye mapenzi ya kweli , sichagui kabila dini wala kiwango cha elimu.
Nitafurahi kumpata aliye mstaarabu kwani nami pia najiheshim sana:A S-heart-2:
 
Wewe mhitimu wa chuo kikuu unatafuta mwanamke kama unatafuta Staret???Aiingii akilini kwa mhitimu kufanya hivyo vinginevyo unamatatizo kichwani!:nono:
 
Wewe mhitimu wa chuo kikuu unatafuta mwanamke kama unatafuta Staret???Aiingii akilini kwa mhitimu kufanya hivyo vinginevyo unamatatizo kichwani!:nono:
sina haja ya kubishana nawe kwani ndio kiwango chako cha mwisho cha kufikiri
 
sina haja ya kubishana nawe kwani ndio kiwango chako cha mwisho cha kufikiri
Ya wezekana lakini na wewe ndo upeo wako na uwezo wakuona ni rahisi kupata mke mtandaoni kama vile unauliza tenda ya kujenga soko!

unakasoro gani?????
Hawezi kuwa mzima automatically anamatatizo.....kisaikoljia na kimaumbile mtu graduate afanyi hivyo!
 
Kuna wimbo mmoja wa Ngoni group...
Unaukumbuka?
 
dah eeh bhana eeeh kukaa kote chuoni hukufanikisha.........?
Labda ulikuwa antisocial mdogo wangu.....!
Unajua unapokuwa chuoni unasomea vitu vingi likiwemo na hilo.....!
Sasa naona unafanya sapp...................!:A S 39:
 
Angalie usiopoe shoga ndugu yangu maana mtandaoni kuna mengi sana. Mke siku hizi si lazima awe mwanamke. lakufanya heri urudi kijijni ukafanye window shopping maana kwa hii staili yako huku mjini utaambulia hata pepo. jioni njema
 
toka tuhamie digital mambo yamebadirika kweli.
1. Ukitaka mke unatoa tangazo kama vile kule kwenye jukwaa la matangazo kama wale wanaotafuta simu. Mfano. Iphone 5 needed urgently.
2. Siku hizi mapenzi sio feelings tena bali yanategemea sana profile ya mtu kama ana elimu kiasi gani, ana gari, cheo au kazi yake.
3. Siku watu watongozana ki digitally yani hakuna kuzungushana mnakutana online unachukua namba bhassss.

Mwisho kabisa akina dada changamkieni tenda ...
 
Ya wezekana lakini na wewe ndo upeo wako na uwezo wakuona ni rahisi kupata mke mtandaoni kama vile unauliza tenda ya kujenga soko!

Hawezi kuwa mzima automatically anamatatizo.....kisaikoljia na kimaumbile mtu graduate afanyi hivyo!
labda jongoo hapandi mtung....
 
Huko chuon hukubahatka kuwa nae?
 
nipo mimi mwaya
am a single girl lol!
karibu mume mtarajiwa!
 
all the best ktk kutafuta mke
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…