Entrepreneur95
Member
- Sep 6, 2018
- 43
- 49
nipo Dar es salaamUko wapi husband
Duh kama unatafuta nyumba ya kukodi.nimeamua kuoa
nahitaji mke wa haraka haraka
sifa na vigezo:
* Awe mcheshi
* 25-30 miaka
* awe tayari kuishi na mimi
* asiwe amezaa
* asiwe na mtoto
* asiwe amewahi kunyonyesha
* awe tayar kuzaa na mimi
* awe amesoma angalau awe na degree
* awe tayari kufunga ndoa na mimi
* kwa walio bikra watakua na nafasi nzuri zaidi
asanteni
aisee, nitakua mwangalifu mkuu katika selection. naamini na wazuri wapo pia humu JFMm nilifanya kama ww kuweka tangazo hapa ila nlichoambulia ni kupata wanawake wabovuwabovu wachafu , shepu hakuna, kitandani wanayofanya sio kabisa ni zaidi ya malaya, yaani wanawake wa mtandaoni cha kwanza utakachokutana nacho ni kusex, be care mkuu
Wanaoweka mabandiko wote hawana sifa anayotaka miss natafuta " faranga " mazee.. [emoji851][emoji851]Miss natafuta hata nafasi kama hizi anakosa kila wakitaka anaangukia pua.
Tuma Cv hivyohivyo sasa tutafanyaje.
mipango imebadilika, nilipanga kuoa mwakani. ila itabidi nioe mwezi huu wa 10 mwaka huuDuh kama unatafuta nyumba ya kukodi.
Emergency, kuna mambo yametokea. so inabidi nipate mke harakaHaraka haraka haina baraka nenda taratibu
Sio kwa haraka hiyo mkuu ila angalia usije ukatengenezewa bikranimeamua kuoa
nahitaji mke wa haraka haraka
sifa na vigezo:
* Awe mcheshi
* 25-30 miaka
* awe tayari kuishi na mimi
* asiwe amezaa
* asiwe na mtoto
* asiwe amewahi kunyonyesha
* awe tayar kuzaa na mimi
* awe amesoma angalau awe na degree
* awe tayari kufunga ndoa na mimi
* kwa walio bikra watakua na nafasi nzuri zaidi
asanteni
MhhhhMm nilifanya kama ww kuweka tangazo hapa ila nlichoambulia ni kupata wanawake wabovuwabovu wachafu , shepu hakuna, kitandani wanayofanya sio kabisa ni zaidi ya malaya, yaani wanawake wa mtandaoni cha kwanza utakachokutana nacho ni kusex, be care mkuu