Jamaa alirudi kwake usiku akamkuta mkewake amelala huku amevaa kichupi chenye mkanda kwa nyuma(BIKINI).Jamaa akaanza kucheka mpaka mkewake akaamka
mke akamuuliza:-''vipi unacheka nini?''
Jamaa akasema:-ndio mara yangu ya kwanza kuona makalio yamevaa kandambili