Skillionare
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 1,190
- 528
Endelea na shughuli zako. Yakimshinda atarudi..
Mkuu unasikitika nn muache aende hata sayari nyingine kwanza amekupunguzia mzigo watoto wakikua watakuja kwa baba yao maadam huja mfukuza huna kosa tulia fanya maisha kuwa karibu mungu.Habari wanajf nimetoka kazini nimefika nyumbani nimekuta funguo imeegeshwa mlangoni na watoto Dada kazi wameondoka,tulikuwa na mgogoro na kabla hili nlimwambia maono yetu yamekufa na haijalishi tukakavyo kuwa hatutaweza kufikia malengo yoyote yale kiufupi huyu mama watoto ni mbinafsi na mbishi sana hasikilizi ushauriwwangu wowote yeye dada zake ndio washauri wake namba moja ,nliwahi mwambia amalize ushauri wa dada zake ndio aje kwangu kwa kuhusu lolotw,.Upendo wangu kwake umepoa sana ..
huyo dawa yake usimpigie simu kumuliza atarudi tu yakimshinda! mwanamke akiwa jeuri na wewe kuwa jeuri zaidi yake, ukimfata fata kumbembeleza atakupanda kichwani!! kuna baadhi wanawake hovyo sana!!
Na huu usawa wa Magufuli wiki mbili nyiingi