nickson1987
Senior Member
- Aug 16, 2011
- 191
- 24
Hiyo kukamatwa juu ya dereva bosi70×4×12=3,360,000
Gharama ya pikipiki kwa sasa pamoja na usajili 2,300,000- 3,360,000=1,060,000
Kwamba faida nitapata 1,060,000 na hiyo hiyo uharibike ukamatwe nk nk
Kweli yataka moyo...
Mi ninakupa ulete malengo ila sio mkataba labda ulete Laki kwa wiki
Pikipiki ipo tafuta mdhamini utaipata kwa hesabu hiyo hiyo uliyosema unifuate pmNaitwa Nickson naishi dar es salaam maeneo ya tabata, Nina shida na pikipiki yaani niingie na mkataba na bosi atakaye ninunulia ntakuwa namlipa kwa wiki 70,000/= baada ya mwaka inakuwa yangu
Napatikana kwa namba 0714 064767
Cheti cha JKT ni kwaajili yanini hasa?Kijana una vitu vifuatavyo?
1. Leseni
2. Uzoefu usiopungua miaka mitano
3. Wadhamini ambao ni watumishi wa serikali, wawili
4. Barua ya mtendaji wa mtaa unaoishi
5. Cheti cha kuhitimu mafunzo ya jkt na
6. Kitambulisho cha taifa
Nijue kama upo fiti, wahuni wakikuibukia kukukaba wakupore pikipiki kama unaukakamavu wa kuwatuliza hivyo wewe na chombo mkabaki salama. Au chombo itaenda na niwe na kazi kukuuguza majeraha ama kutoa mchango wa mazishi yako.Cheti cha JKT ni kwaajili yanini hasa?
Tatar nimekutafuta broPikipiki ipo tafuta mdhamini utaipata kwa hesabu hiyo hiyo uliyosema unifuate pm
Hahaa kiutani utani tunakoelekea utakuta Chet cha JKT nacho kinakua kigezo kikuu kila uendapoKijana una vitu vifuatavyo?
1. Leseni
2. Uzoefu usiopungua miaka mitano
3. Wadhamini ambao ni watumishi wa serikali, wawili
4. Barua ya mtendaji wa mtaa unaoishi
5. Cheti cha kuhitimu mafunzo ya jkt na
6. Kitambulisho cha taifa
Nijue kama upo fiti, wahuni wakikuibukia kukukaba wakupore pikipiki kama unaukakamavu wa kuwatuliza hivyo wewe na chombo mkabaki salama. Au chombo itaenda na niwe na kazi kukuuguza majeraha ama kutoa mchango wa mazishi yako.
Watu wanafunga GPS track , that's allTuache utani. Kweli waendesha Pikipiki na hasa Boda Boda JKT au hata Mgambo muhimu sana!
Serikali inafaa kuliona hili.
Watu wanafunga GPS track , that's all
Njoo pm boss tuyajenge tuone linalowezekana bossNaomben ndgu zang mnisaidie mkataba was pikipiki ndgu zang halafu nilikuwa naomba pia mnisaidie kunifungia GPRS track ofisi zao zipo magomen usalama utaniongezea mwezi mmoja wa deni hilo LA gprs
Njoo pm boss tuyajenge tuone linalowezekana boss
Nakusiliza boss wangu mi nipo tayar
Nakusiliza boss wangu mi nipo tayar
Huyu atakuwa na piki piki kuu kuu sio mpya kwa pikipiki yenye thamani ya tsh 4,000,000 tsh marejesho sahihi ni 109,525 kwa wikiPikipiki ipo tafuta mdhamini utaipata kwa hesabu hiyo hiyo uliyosema unifuate pm
Pikipiki ya kupigia mishe za boda boda ina thamani ya milioni 4?Huyu atakuwa na piki piki kuu kuu sio mpya kwa pikipiki yenye thamani ya tsh 4,000,000 tsh marejesho sahihi ni 109,525 kwa wiki
Sorry,Pikipiki ya kupigia mishe za boda boda ina thamani ya milioni 4?
milion 2.4Sorry,
Hivi hizi boxer kwa sasa bei gani?