Mkuu ungeweza kujibu badala ya kuweka ilo bandiko lako ingesaidia Sana...jukwaa la mahusiano na ajira wapi na wapi?
🙏🙏Asante kwa ushirikiano mkuu..ubarikiwe sana
Ulinzi ni kazi ngumu mno
Kivp mkuuUlinzi ni kazi ngumu mno
Mtag bwana anaitwa Mkaruka. Yeye atakupa full detailMm mwenyewe nnahitaji kuomba kazi kwenye hyo kampuni ya ulinzi jaman kazi mtaani hakuna. Kwa anayefaham ofisi zao au jinsi ya kutuma maombi naomba anielekeze pia na vigezo vyao. Ahsanteni
akipiga absent tano kazini atavunjiwa mkataba (atafukizwa) hatadaiwa chochote zaidi ya uniform tuAsante kwa ushirikiano mkuu..ubarikiwe sana
Poa nduguMtag bwana anaitwa Mkaruka. Yeye atakupa full detail
Kivp mkuu
Ofisi zao zipo mikocheni kwa warioba ni kiasi cha kutembea dk 5 ushafika ofisin kwaoMm mwenyewe nnahitaji kuomba kazi kwenye hyo kampuni ya ulinzi jaman kazi mtaani hakuna. Kwa anayefaham ofisi zao au jinsi ya kutuma maombi naomba anielekeze pia na vigezo vyao. Ahsanteni
Ulinzi ni kazi ngumu mno