Mkapa's memo that cost $2.5m

Nsololi na Masanja: unajua na mimi nina mtazamo kwa kiasi fulani katika masuala y auandishi na nimeandika hapo nikijua kuwa story yoyote ukiiandika kuna intent pia. Hii story imekaa zaidi kujenga hoja kuliko kuripoti. na nimesema wazi kwamba kuna conflict of interest katika kuripoti. Na hii ni kutokana na ule ugomvi wa Mengi na Mkapa.
Mengi amekataa kuweka mguu Kempinski kiasi kwamba hata mikutano husogezwa Movenpick kama ye ni mgeni rasmi. hii ni fact na sidhani atakataa akiulizwa.
Walipoandika ile story ya Kilimanjaro na kumtaja Mengi journalist ethics inamtaka editor aandike "Reginald Mengi is the owner of IPP Media which owns the Guardian." hii inaweka wazi kuwa what interest are involved. Therefore we are free to make conclusions as we please. Kwani Warner Brothers walipopelekana mahakamani na Google au Yahoo, CNN all the time wali-declare kuwa wako owned na Time Warner. It is important.
Mengi anafichua maovu unasema, basi naomba niulize, mbona hasemi yale ya Kikwete? Na waandishi wake wana taarifa zote kuhusu dili za Kikwete lakini hata siku moja hawajaandika.... food for thought......
Katika ishu hii simshiki bango, Mkapa, Mengi au Mrema, but I am saying that what I am reading here means there is more to this story na haijakaa sawa, kwani ile direct interest ya Mengi imefichwa wakati ni dhahiri kuwa upo hapa.
 
Nasikitika sana na vichwa chakavu vya watanzania wengi! Hebu angalia hoja ya msingi imeletwa jamvini, badala ya kuifanyia kazi na kutoa critical comments za kusaidia wengine wasio hata na upeo wa kutetea haki zao, na kujua what is conflict of interest and abuse of power tunabaki tunasoma wastes ati Mengi anawivu or mara ana hasira! Longolongo!

Damn bongo! wake up and stand for your rights and be seen to be responsible hata kwa maandishi yenu hapa JF! Huu ujinga wa akina Nkapa hatuendelea kuuvumilia!, kodi zetu ambazo zimekuwa misdirected kuwalipa smart people like Mrema lazima zifidiwe kwa adhabu kali ili iwe reminder ya watawala wajao na waliopo!

Tumechoka kusikia ati Nkapa na mafisadi wenzie wamefanya kile na lile, mbona inaonekana ushahidi uko wazi sana, mtalindana mpaka lini? au ndio mnataka mob justice ije iwagongee milangoni? Siku zaja!
 

Mnyoofu mkuu, sisi tumeanza kupigia kelele ufisadi humu ndani siku nyingi sana na hakuna haja ya kuona kuwa eti kwa kuwa hatukubaliani nawe basi ni lazima sis ni watetezi au mafisadi or whatever.
Kila kitu kina upande wa pili. Huyo Mengi unayemshikilia bango ujue siyo malaika na pia naye ana dili zake chafu lakini tunamheshimu kwa kazi anayoifanya, ila tunasema pale ambapo inaonekana kuwa kitu hakijakaa vizuri ni lazima tuseme.
Ujinga wa Mkapa pia umefanywa na JK, umefanywa na mawaziri wengi sana ,na hata Mwalimu Nyerere alikuwa ana waachia akina Andy Chande watajirike lakini hakutaka kuona mwafrika anatajirika maana sikumbuki mfanyabiashara hata moja aliyeweza kukua under Nyerere zaidi ya akina Rupia etc ambao walikuwa na utajir wa kurithi .... so let us not pretend that this problem started with Mkapa.
Hatujakataa ushahidi NARUDIA TENA hakuna tatizo na ushahidi bali tunazungumzia intent! Na ni vyema tukiangalia pande mbili bila ku-demonize one side au kuitukuza upande wa pili. I rest my case.
 
CRDB wameanza kuuza hisa kanunueni wacheni blah blah na kushabikia vita isiyowahusu...baadae mtakuja kulalamika CRDB imeuzwa hatukujua 🙁
 
The Ministry of Tourism and Natural Resources tabled a cabinet paper on the subject for approval before the inter-ministerial technical committee on February 19, 2007.

According to documents seen by The Guardian on Sunday, on April 5, 2007, the government signed a contract with ASB Tanzania, allowing the latter to acquire the property worth billions of shillings for an unknown amount.

__________________________________________________________________________

hii habari ni ya kishabiki mno embu angalia miaka hapo juu, Mkapa hakuwa anatawala!!!!!
 

Mchaga, we kweli ni Journalist! You have shamed some of us, sikuona such an important detail.... mimi naendelea kuuliza mbona Mengi siku zote yuko busy anamtafuta Mkapa lakini ya Kikwete hatusikii?
 
Mchaga, we kweli ni Journalist! You have shamed some of us, sikuona such an important detail.... mimi naendelea kuuliza mbona Mengi siku zote yuko busy anamtafuta Mkapa lakini ya Kikwete hatusikii?
Susuviri Mengi he is busy seeking public sympath kama kawaida yake...
 
Hii habari imejaribu kuunganisha 77 na Kempinski lakini if you read between the lines na kama upo well informed utaona ni scrap 🙁

Though that bidder, Reginald Mengi - who is also the executive chairman of the IPP group of companies - won the tender, the hotel was instead handed over to ASB Tanzania, which reopened it in 2006.
-------------------------------------------------------------------------------------
The truth is Mr. Mengi did not won the tendar, he didnt even qualify as per tendar requirements and he knows that, why are you using your media to distort facts and spoil some people minds, its very unethical
 
Just think aloud...Lowassa, JK, Henry Nyiti, ASB Tanzania Ltd.....fadhila za 2005 election.
 
Nilikuwa katika harakati zangu za kufukuafukua makaburi nikakutana na hili janga,ninavyo iona hali Hadi 2025 tutakuwa tumelizwa Tena.
Amini amini nawaambia dalili sio nzuri tegeni masikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…