Elections 2010 Mkapa vs kikwete

Bia 850 -1,500+2,000
Konyaji kubwa 2,500 - 5,000
Sigara 50 - 150
Asilimia jaza mwenyewe.
 
Naomba muniruhusu kuweka takwimu vizuri bila kubadili bei zilizowekwa na mtoa mada.

Takwimu hazidanganyi.

Bidhaa---------------ongezeko(%TZS)-------(%USD)
Unga – 460('04), 1000('10) --- 117% -------->51%
Mchele-600('04), 1200('10)----100% -------->39%
Sukari-760('04), 1600('10)------111%--------->46%
Mkate-250('04), 700('10)--------180%-------->95%
Maharagwe-360('04), 1000('10)---178%------>93%
Mafuta ya Taa(lts) -450(‘04), 1050(`10)-133%---->62%
Mafuta ya uto (lts)- 178('04), 720 ('10) --304%---->181%
Nazi –100('04), 550('10)------------------450%-------->283%
Mchicha Tembele-50('04), 150('10) ---200%----->109%




===>Aidha takwimu hizi haziko kamili kama hujatoa data zifuatazo...
  1. exchange rate ya USD moja kwa TZS ya 1499.99(10) against 1042.77('04)
  2. Bei ya mafuta ya pipa moja kwenye soko la dunia ya '04 na '10.
  3. Compound inflation rate (everage of 8% annnually)
  4. Bei za vyakula ziliongezeka kote duniani miaka ya hivi karibuni.
 
AMESAHAU KBAADHI YA VITU,
MAFUTA AMBAYO HAYAJASAFISHWA KWA PIPA YALIPANDA KUTOKA DOLA 28 (MKAPA) MPAKA 140 (KIKWETE) wakati bushi akivamia Iraq
UKAME ULIIKUMBA NCHI NA WATU KUWA NA NJAA AMBAPO SERIKALI ILILAZIMIKA KUGAWA CHAKULA
KULITOKEA ECONOMICS CRISIS DUNIA NZIMA ulioanzia kuyumba kwa mabenki ya Marekani
etc...............
endeleeni kujaza kwani list ni ndefu sana na si majungu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…