"La kuvunda halina ubani". Sasa kama chama kimeoza unafikiri uheshimiwa utatibu hali. Watanzania hawaangalii anyepiga kampeni ana cheo gani. Ikumbukwe, migogoro ya ardhi huko Arumeru ilisababishwa na Mh Mkapa ya kuuza ardhi kwa wageni akitumia mwavuli wa uwekezaji
Fursa aliyoipewa na watanzania ya kuwa rais wa taifa Ndugu Ben imempa heshima kubwa na kwa mila za kiafrika yeye ni kama baba kwa watanzania wote. Anayo haki ya kuheshimiwa na watanzania wana wajibu wa kumheshimu na halipashwi kuwepo jambo la kumfanya asigane na watanzania.
Nionavyo mimi kitendo cha raisi mstaafu kujihusisha na siasa za majukwaani tena katika kada za chini kama majimbo hasa katika mazingira ya siasa za kibongo kunamweka katika mazingira ya kusigana na watanzania maana wako huru kutofautiana kifikra na mtazamo. Mbaya zaidi Mr. Ben mwenyewe hana diplomasia ya kikampeni; yaani ana ubabe fulani hivyi akiwa jukwaani.
Matokeo yake ndo kama tulichoshuhudia Arumeru. Mzee wa heshima kubwa kama yeye kuanza kukashifiwa na hata kutukanwa na watoto wadogo majukwaani na katika mitandao. Anasababisha laana ya bure kwa watoto wanaoshindwa kuzuia kishawishi cha kumkashifu na kumtukana baba yao! Kwa CCM kubwagwa Ben amevuna aibu kubwa kuliko Sumari! Jambo hili halina faida kwa nchi na linabomoa heshima yake Mr. Clean. He should only be called to intervene on serious issues of national or international interest.
Samahani Mr. Ben, ni mtazamo tu. Ila siyo siri, unajiaibisha bure!
Fursa aliyoipewa na watanzania ya kuwa rais wa taifa Ndugu Ben imempa heshima kubwa na kwa mila za kiafrika yeye ni kama "baba" kwa watanzania wote. Anayo haki ya kuheshimiwa na watanzania wana wajibu wa kumheshimu na halipashwi kuwepo jambo la kumfanya asigane na watanzania.
Nionavyo mimi kitendo cha raisi mstaafu kujihusisha na siasa za majukwaani tena katika kada za chini kama majimbo hasa katika mazingira ya siasa za kibongo kunamweka katika mazingira ya kusigana na watanzania maana wako huru kutofautiana kifikra na mtazamo. Mbaya zaidi Mr. Ben mwenyewe hana diplomasia ya kikampeni; yaani ana ubabe fulani hivyi akiwa jukwaani.
Matokeo yake ndo kama tulichoshuhudia Arumeru. Mzee wa heshima kubwa kama yeye kuanza kukashifiwa na hata kutukanwa na watoto wadogo majukwaani na katika mitandao. Anasababisha laana ya bure kwa watoto wanaoshindwa kuzuia kishawishi cha kumkashifu na kumtukana baba yao! Kwa CCM kubwagwa Ben amevuna aibu kubwa kuliko Sumari! Jambo hili halina faida kwa nchi na linabomoa heshima yake Mr. Clean. He should only be called to intervene on serious issues of national or international interest.
Samahani Mr. Ben, ni mtazamo tu. Ila siyo siri, unajiaibisha bure!
ukweli ni kwamba hawajifunzi kutokana na matukio kama hayo, hususani bwm. Imagine energy iliyotumika na ccm (ikishirikiana na serikali yake) kutafuta jimbo kama ingetumika kutatua tatizo moja tu hapo (say ardhi) arumeru mashariki tungekuwa mbali sana kimaendeleo.
Mkapa alilazimishwa tu kwenda Arumeru ndio maana hata siku ya uzinduzi ilibadilishwa. Hatahivyo viongozi wa CCM huwa hawana desturi ya kujifunza kutokana na matukio wapowapo tu
Ecxactly! Anapashwa atambue kuwa kuitwa akatoe msaada majukwaani ni kejeli kwake hasa baada ya kuambiwa kwenye NEC hawataki kumwona. Kwama kweli wanautahamini msaada wa busara zake basi sehemu ya maana ilikuwa kwenye NEC.Mzee Mkapa anatakiwa kusoma alama za nyakati, alitakiwa apumzike maana heshima aliyonayo na madhambi aliyofanya wakati akiwa madarakani RADAR, EPA, UBINAFISISHAJI nk vitaibuliwa upyaaaaaa, pumzika mzee BEN kama walivyowapumzisheni kwenye NEC
Well said Mlitika. Napigia mstari ushauri wako kwa bwna Ben. Nyongeza kidogo ni hii:Fursa aliyoipewa na watanzania ya kuwa rais wa taifa Ndugu Ben imempa heshima kubwa na kwa mila za kiafrika yeye ni kama "baba" kwa watanzania wote. Anayo haki ya kuheshimiwa na watanzania wana wajibu wa kumheshimu na halipashwi kuwepo jambo la kumfanya asigane na watanzania.