Mlonganzila
Member
- Feb 28, 2013
- 99
- 26
Dkt.John Magufuli awa mwenyeji wa raisi wastaafu wawili:
Haijawahi kutokea Marais wastaafu wa awamu ya pili na tatu Mzee Ali Hassan Mwinyi na MzeeBenjamin Mkapa walipofungua na kufunga Mkutano wa mwaka wa Bodi ya Usajili wa Wakandarasi (CRB) jijini Dar es salaam. Mzee Mkapa alifungua mkutano tarehe 14 Mei 2015 na Mzee Mwinyi aliufunga mkutano tarehe 15 Mei 2015.