Mkapa hupendezi kutoa matusi

Marata

Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
44
Reaction score
8
Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa jana katika uzinduzi wa kampeni za CCM aliwatukana wapinzani kwamba ni WAPUMBAVU. Mkapa anatambulika kama Rais Mbabe na ikumbukwe ndio alikuwa madarakani Wapemba walivyouawa Zanzibar mwaka 2014. Wewe ni Rais Mstaafu hivyo kutoa MATUSI hadharani si ustaarabu.
 
Oct tutawanyoosha ?
 
Matusi gani. Alifanya conclusion aliloshauri Msigwa
 

We Lofa wapemba gani waliuawa 2014? Lofa na Pumbavu wewe
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…