Mkapa anaongoza nchi kimyakimya?

Then Mkapa is so kind yaan yeye alikusanya leo anamfundisha Kikwete jinsi ya kutumia!Mbavu zangu jamani.
 
Mkapa kumsaidia JK,Sio sumu nijambo lakawaida tu, hasa kwakuwa anakipenda chama chake.Sometimes kama mambo hayaendi vema ukiwa mwenyewe then nenda kwenye discussion utajifunza mapya na yatakaa kichwani.
 
Vibaka wa feri ni noma, yaani huwa nanaingia ikulu na kumpora baba Mwanasha simu!!!
''mara nyingi mimi huwa nikisha jifungia ikulu huwa sielewi kinacho endelea na wakati mwingine hawa majamaa huninyang 'anya hata simu yangu ya mkononi
 

JK inabidi akajipange arudi kugombe urais upya 2025 sababu so far hakuna anachofanya, yaani hatuna kiongozi toka 2005
 
Mkapa ni jembe. Nahisi kama hasingekuwepo hizi campaign za ndani kwa ndani za kumpinga mwenyekiti zingezaa matunda. JK mshukuru sana mzee Mkapa, amekukingia kifua sana tu japo umechelewa kutoa shukrani waziwazi.
Nkapa ni jembe lililnyemelea kuiba kiwira likaona kiwingu likaingia ntini
 
Kikwete yuko safarini na anawaza safari zake! Bravo Mkapa kushughulikia akina sheikh Ponda
 
Ingekuwa kweli inflation isingekuwa double digit na safari zisingekuwa nyingi
 

What does this mean,kwamba Mkapa anamuona Kikwete ni mtupu sana kiasi kwamba inabidi amsaidie?It seems yes.Maana kama hata mpangilio tu wa mkutano inabidi usaidiwe,basi kuna tatizo kubwa.My take however is that Kikwete anajaribu kushift blame.Kwamba Mkapa naye anahusika kwa njia moja au nyingine katika matatizo yanayoikumba Tanzania.
 
Jamani jk kawa mpole na msikifu atoka dodoma nakuja arusha kuonana na wachungaji hapo ninampongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…