Mkapa aingia mitini

KALOKAZA

Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
95
Reaction score
135
Waandishi wa habari walialikwa leo nyumbani kwa Mkapa, Msasani kuongea na Rais mstaafu, mambo yamebaki hivi hadi Mwisho, hukuonekana
 

Attachments

  • Kiti cha Mkapa.JPG
    707.7 KB · Views: 2,585
...Labda alitaka aongelee yale aliyoyataka yeye tu, Waandishi wakamtolea nje kwamba watauliza kila kitu ikiwemo ufisadi alioufanya alipikuwa mdarakani wa wizi wa Kiwira Coal Mining, kupora nyumba za Serikali, kufanya biashara akiwa Ikulu, ufisadi wa rada, ufisadi wa IPTL na ufisadi wa EPA ambao pia ulitokea ndani ya awamu yake.

 
alikuwa anajiweka sawa na whisky ikamzidi kwiiiiii kwi kwii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…