willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,083
- 1,328
Mkuu ingawa sina Uhakika! Lakini Huenda Vyuo Vikawa vinamega Nafasi Maalum Kwa Ajili ya Watu Wa Diploma.Inasikitisha mpaka sasa hivi watu tuliomaliza diploma na GPA zetu kubwa bado guide book haijatoka wakati TCU wametoa guide book na kuaapply washaanza hivo kufanya sisi wa diploma kutokuwahi kozi nzuri kwenye vyuo vizuri. kama ni NACTE au TCU ndo wanahusikia diploma tunaomba mfanye haraka jamani na sisi tuapply na tuone guide book yetu
Mkuu ingawa sina Uhakika! Lakini Huenda Vyuo Vikawa vinamega Nafasi Maalum Kwa Ajili ya Watu Wa Diploma.
eee mkuu ata leo kipima joto waneongelea Ilo suala; GPA chini ya apo itabidi ufanye kazi miaka kadhaa afu kuna pepa utapewa ufanye then ukifaulu ndo utaingia bachelor degree.Anayefaham jamaaa bado wanakomalia hiyo 3.5?!
Hi hyo hyo man hawa wamebania raiaaaaAnayefaham jamaaa bado wanakomalia hiyo 3.5?!
Dah wakuu vip diploma holders bado hawaanza application?!