mkali wa kukrem

mkali wa kukrem

sajumo

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
1,834
Reaction score
1,056
shukuru mbonde(enz hz p xul) alikuwa zaid ya shalow katika math ali range kati ya 10 mpaka 0 tulishazoea na alijulikana mpaka stafroom cku moja akapata bahat ya kukaa na kichwe wetu wa math zaid ya bund mchz alizungusha shngo kwa vle tunaandika majibu bla njia alipata 88 mwalim akagoma akasema shukuru huwez kupata hz marks
shukuru;ndo nimeshapata
mwl;nakupa mtihan huu huu uoneshe na njia na utakuwa peke yako ukipata chni ya maks hamsn utantambua
shkur;sawa
mtihani ulitolewa majibu yakaja yale yale bila kukosea hata namba moja ila hyo njia alikua anapachika pachika namba mpaka mwisho. mwalim ilibd achoke koz alipata the same marks katika mtihani
 
ndo nini hicho?

samahani nimemiks lugha ya kitaa pamoja na lugha xul na lugha ya kawaida hvyo kufanya thread isieleweke kwa mtu kama wewe ila cwez kujirekebisha
 
samahani nimemiks lugha ya kitaa pamoja na lugha xul na lugha ya kawaida hvyo kufanya thread isieleweke kwa mtu kama wewe ila cwez kujirekebisha
Ukimaliza shule utajirekebisha
 
sikumoja akapata bahati ya kukaa na kichwe.... hii lugha mtaagani wanatumia mkuu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom