Inasikitisha sana watanzania kutojua BRN ni nini na kutumika na watendaji wabovu wa serikali wanaobanwa na BRN kuchafua BRN
Anyway, nilishasoma humu kuwa upumbavu hauna ujazo
BRN is not a micromanagement tool wala planner wa mipango ya serikali
Tutabaki maskini kwa kutumika na watendaji wabovu wa serikali wasipenda BRN