Mkaa_Maridadi
Member
- Nov 5, 2017
- 10
- 11
Asante kwa kututia moyo!Ongeren kwa ubunifu
Dah,Asante kwa kututia moyo!
Kwa bei ya jumla (gunia 10 kwenda mbele) ninauza sh 13,750 kwa gunia la 25 kg...Dah,
Hivyo vipimo vya uzito ndio vikoje tena??
Wengine tumezoea vipimo vya Ujazo wa Gunia au viroba
Namaanisha nikitaka Gunia kama hili hapa chini lijae hivyo,Kwa bei ya jumla (gunia 10 kwenda mbele) ninauza sh 13,750 kwa gunia la 25 kg...
Sh 2,400 kwa gunia la 4kg na sh 9000 kwa gunia la 15kg. Karibu sana
akijib nitagiNamaanisha nikitaka Gunia kama hili hapa chini lijae hivyo,
Kwa uzoefu wako linainia kilo ngapi??
Ambazo ni kiasi gani unauza
Poaakijib nitagi
akijib nitagi
Gunia kama hill roughly lina uzito wa Kg 70 na bei huwa +- 70,000.00Namaanisha nikitaka Gunia kama hili hapa chini lijae hivyo,
Kwa uzoefu wako linainia kilo ngapi??
Ambazo ni kiasi gani unauza
Halafu we madonge yako ni makubwa sana, tukiupasua hauwezi kua chenga sana??Gunia kama hill roughly lina uzito wa Kg 70 na bei huwa +- 70,000.00
Kwa Mkaa wa kisasa, tutakuuzia kg 70 kwa sh 38,500
Karibuni, Mkaa ni mzuri hautoi moshi, hautoi Chechen, unawaka muda mrefu.
Hapana....tunatengeneza shape na size tofautiHalafu we madonge yako ni makubwa sana, tukiupasua hauwezi kua chenga sana??
Huu ukiwaka unakuaje mkuu hamna hata video ya demo ya jinsi unavofanya kazi mkuu maana wengine tupo mbali kabla ya kukutafuta ni vizuri tukajiridhishHapana....tunatengeneza shape na size tofauti
Tupe production ya huo mkaaHabari wana JF wenzangu...napenda kuwajulisha kuwa tumefungua kiwanda cha kutengeneza mkaa wa kisasa kilichopo Mbezi Msakuzi...
Mkaa huu (Jina Mkaa Maridadi) ni bei rahisi, unadumu kwa muda mrefu zaidi, hautoi moshi wala cheche na ni rafiki kwa mazingira. Mkaa huu unatumika kwa matumizi ya nyumbani, hotelini/migahawa na kwa wafugaji wa kuku/vifaranga.
Kwa wale watakaopenda kuwa agents, kuanzia gunia 10 za 25kg bei ni Sh550 per kg.
Kuanzia gunia 10 za 4kg au 15kg bei ni Sh 600 per kg.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0745000888
Au karibuni ukurasa wa insta ili kupata taarifa mpya
Karibuni sana.
Mkaa Maridadi
Tupe production ya huo mkaa
Maswali mazuri sana hayo atusaidie mkuu, kuhusu video tuone vile unawaka...Huu ukiwaka unakuaje mkuu hamna hata video ya demo ya jinsi unavofanya kazi mkuu maana wengine tupo mbali kabla ya kukutafuta ni vizuri tukajiridhish
Awe na amani tu kuweka video na hata kueleza process, mbona material za kutengeneza charcoal briquettes zinajulikana.Maswali mazuri sana hayo atusaidie mkuu, kuhusu video tuone vile unawaka...
Pia kuhusu vile unaotengenezwa, kuhusu materials na vitu kama hivyo, hapa nahisi jamaa anaweza kuwa na hofu kidogo labda watu watachukua na kufanya wao lakini dunia ya sasa watu wapo kasi kujua ni kujiridhisha then mtu ajiridhishe na kuiamin bidhaa kuwa itakuwa imala.
Huu ukiwaka unakuaje mkuu hamna hata video ya demo ya jinsi unavofanya kazi mkuu maana wengine tupo mbali kabla ya kukutafuta ni vizuri tukajiridhish
Maswali mazuri sana hayo atusaidie mkuu, kuhusu video tuone vile unawaka...
Pia kuhusu vile unaotengenezwa, kuhusu materials na vitu kama hivyo, hapa nahisi jamaa anaweza kuwa na hofu kidogo labda watu watachukua na kufanya wao lakini dunia ya sasa watu wapo kasi kujua ni kujiridhisha then mtu ajiridhishe na kuiamin bidhaa kuwa itakuwa imala.
Awe na amani tu kuweka video na hata kueleza process, mbona material za kutengeneza charcoal briquettes zinajulikana.
Pia video au picha ya mkaa ukiwa na moto itavutia zaidi.
Tunashukuru na je huo mkaa umetengenezwa kwa kutumia nini?
Hazifiki kg 70.Gunia kama hill roughly lina uzito wa Kg 70 na bei huwa +- 70,000.00
Kwa Mkaa wa kisasa, tutakuuzia kg 70 kwa sh 38,500
Karibuni, Mkaa ni mzuri hautoi moshi, hautoi Chechen, unawaka muda mrefu.
Sijaelewa unavyosema unaisha mapema na chenga nyingi mkuu...Hazifiki kg 70.
Huu wenu unaisha mapema, chenga nyingi. Kanyaboya.Nunua huo mkaa maridadi.