Mjumbe CCM ajivua uanachama

Mkuu jibu unalo kama hauna unalijua ila hutaki kulikubali. Binafsi sipendi kumung'unya maneno, watu wameichoka/tumeichoka CCM na viongozi wake, wengi wanatamani CCM ipotee tuanze upya na chama kingine tukiwa na mfumo mzuri wenye kuthamini utu na taifa letu. Sasa linapotokea suala ambalo naweza kusema lina-accelarate the dying process of CCM basi bila shaka mwenye gazeti atauza akiandika hiyo habari. Pamoja na mengine meeeengi.
 
Nilipofungua hii thread nilidhani mjumbe wa NEC kumbe mjumbe wa kata.
 
CCM ni janga la taifa linalokumbatiwa na wanaoathirika nalo. Hivi tunakosa macho ya kuona hayo madudu yao?
 
Tanzania Daima ndio linatoa habari ya kitoto hivi, Mwalimu ni mwajiriwa wa Halmashauri haruhusiwi kujihusishaba Siasa
Prince Fabby Rwanzo (29) jina lenyewe halifai hata kuwa Mjumbe wa Halmashuri ya Tawi la kitonbgoji cha Bugene
Tanzania Daima subirini mmatokeo ya Mkiti atakavyopita kwa zaidi ya 90% na mbadili km mlivyozoea
 
Tanzania Daima ndio linatoa habari ya kitoto hivi, Mwalimu ni mwajiriwa wa Halmashauri haruhusiwi kujihusishaba Siasa
Prince Fabby Rwanzo (29) jina lenyewe halifai hata kuwa Mjumbe wa Halmashuri ya Tawi la kitonbgoji cha Bugene
Tanzania Daima subirini mmatokeo ya Mkiti atakavyopita kwa zaidi ya 90% na mbadili km mlivyozoea
 



vipi akihamia chadema atapoteza ajira yake??
Good for him
 

Umesema kweli. Waandishi mnatuangusha, mkiambiwa ukweli hamtaki.
 

Huyu kijna hakuwepo wakati Kolimba anasema maneno kama hayo!
 
Kuendelea kubaki ccm unatakiwa uwe na moyo wa kijangili..

Hasa wale wenye MIRIJA YA KUNYONYEA NCHI km akina lowasa, nape, na mafisadi wengine ndio basi tena humwambii kitu kuhusu ccm
 

Hizi nia taarifa za kizushi, zipo Tanzania Daima ukurasa wa ngapi na tupe nakala tuone hapa jamvini.
 
Mungi wewe ndiye unaandika kimahaba mahaba hadi unapost bandiko moja mara tatu tatu!! Andiko lina vitu viwili vikubwa vya muhimiu ambavyo ni Mantiki na Maudhui wewe unaona kuna mantiki gani kwa Gazeti kuweka habari ya Kada wa CCM kujiunga CHADEMA kama ni habari kuuubwa!?

Ninachotaka mimi ni waandishi wa habari kuwalisha wasomaji wao habari zenye kufikirisha mbongo. Hebu tafakari nchi nzima kuna Kata ngapi na huyo mmoja aliyejitoa anabadili nini kwenye kata zingine zilizobaki? Ukiondoa ushabiki wa kijinga kwamba kila anayehoji ni Mfuasi wa chama fulani huko ni kufilisika kimawazo na ndiyo maana watu kama nyie huwa mnamuona Zitto Kabwe ni "Pandikizi" eti kwa kuwa tu hakubaliani na mawazo yenu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…