Mjumbe wa NEC amejitoa? That is big news KAMA IMETOKEA KWELI.
But that is what I was saying yesterday,itakuwa ni wazo zuri sana kama wakimzuia Kikwete asipate kipindi cha pili cha miaka mitano.
Mtu kama Kikwete anayesema,''Ukila na kipofu usimguse mkono '',HAFAI kuwa Mwenyekiti wa CCM.
Kikwete anakosa method,there is no scientific thinking in his method. Ukiweka kitambaa cha rangi kwenye projector,utabadili rangi ya mwangaza unaotoka. Lazima watu wafikiri kwa kufuata correct principles of thinking. Hata vigogo wa CCM wanaonekana kumpiinga Kikwete. Ina maana sasa Kikwete anatakakufanya COUP DETAT.