Msaada wa Bakhresa ni mkubwa sana katika jamii. Mengi ni mtu wa show off, amitoa msaada lazima vyombo vyake vya IPP vitamtoa tu. na yeye huwa anakna sifa sana, na analenda kujitangazia akitoa misaada yake. Bakhresa muna wafanya kazi wake hawamjui wanamsikia tu, kwa sababu sio show off kama Mengi. Lakini bakhresa anasaidia sana ila kimya kimya na ndivo inavotakiwa.