Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,873
AloooMwanamke ni wakala wa sheitwani rajiiim
Ifike mahali tuache kumlaumu Shetani na kila mmoja aweresponsible na maisha yake - kabla ya kufanya jambo lolote jaribu kulitafakari outcome yake itakuwa nn? According to your own perception either nipositive side au negative side.Shetani ni kiumbe chochote kinachoishi ndani ya mwili wa binadamu na kumuongoza kiufahamu juu ya elimu yake au nguvu yake.
Binadamu ana mfumo na muongozo ambao umuongoza katika maisha. Mfumo uo amepewa na Mungu na hivyo ni mfumo wa kimungu. Ikitokea binadamu akaacha kujiongoza kupitia mfumo huo na kufata mwingine maana yake atakuwa amefata mfumo wa shetani.
Kutokana mfumo huo upo ndani ya mwili na mfumo wa shetani ukaa ndani ya mwili. Unapokuwa na mfumo ule ule wa kibinadamu basi utakuwa na Mungu ndani yako. Lakini ukiwa na mfumo wa kiumbe mwingine basi ndani yako utakuwa una shetani.
Katika mwili wa binadamu hautakiwi kukaa na ufahamu wa aina yeyote zaidi ya ufahamu wa binadamu. Ikitokea katika mfumo wa binadamu akaa kiumbe kingine basi iko kiumbe ni shetani.
N.b
Ukitaka kujua kuwa wewe unaongozwa na shetani au Mungu, au vipi unaweza kuongozwa na Mungu. Jizae upya
Hee unaanzia wapi kujizaaa ?
Fanya sala ya toba ?
Sala ya toba maana yake ni kufanya ibada ya kutoa shida mwilini. Shida Mwilini si dhambi isipokuwa shida ndo uleta dhambi. Ili usiwe na dhambi inabidi usiwe na shida. Kuwa na shetani ndani yako ni moja ya shida.
[emoji23][emoji23][emoji23]Shetani huyu aliyeleta balaa hili lote duniani anaelezewa kwa undani kwa maneno mafupi kiasi hii
Nasemaje Bado hujamjua shetani vizuri ngoja aje hapa akanushe madai Yako
cc # Ibris bin Shetani,Mr devil
Niajabu sana kabisaShetani huyu aliyeleta balaa hili lote duniani anaelezewa kwa undani kwa maneno mafupi kiasi hii
Nimecheka sanaShetani huyu aliyeleta balaa hili lote duniani anaelezewa kwa undani kwa maneno mafupi kiasi hii
Mawazo yote mabaya utoka kwa shetaniIfike mahali tuache kumlaumu Shetani na kila mmoja aweresponsible na maisha yake - kabla ya kufanya jambo lolote jaribu kulitafakari outcome yake itakuwa nn? According to your own perception either nipositive side au negative side.
View attachment 1918600
Huyu jamaa hamjui Shetani!Nimecheka sana
Nakubaliana kabisa na wewe,...., at least I have seen one person of the kind! Dunia hii inashangaza sanaShetani ni kiumbe chochote kinachoishi ndani ya mwili wa binadamu na kumuongoza kiufahamu juu ya elimu yake au nguvu yake.