mjue mwanaume anayekupenda

Hili lilikuwa linawezekana mwaka 47 siku hizi ni nadra sana.

hahaha let me tell u where the problem is... mwanaume anaweza kuvumilia kula tunda mpaka marriage provided huyo dada hajagawa papuchi...yaani kitu bado sealed. lakini sijui demu ulishagegedwa alafu umwambie mwanaume kuwa lets just wait till marriage hakubali ng'oo!!! so in essence what am trying to say is that women have created this quagmire themselves!
kama mwanamke unataka kupata mwanaume ambaye atasubiri mpaka muoane ndio mgegedane basi u must preserve urself na usichakachuliwe short of that lazima kidume amege wether anakupenda kweli ama yupo kimgegedo zaidi
 

...swadaktaa!...
 
Njemba moja ilipata mdada mrembo sana ikachakarika kivyake vyake kuomba penzi ikakubaliwa. Njemba ikaomba nonino mdada akamtolea nje kwamba yeye ni "bikra" njemba ikaendelea kuomba nonino lakini haikufanikiwa. Binti alivyo mrembo njemba ikatangaza harusi haraka haraka ili masharp shooters wa mujini wasimzidi kete kwa mlimbwende wake. Baada ya harusi walielekea kwenye honeymoon huku njemba ikitokwa na udenda wa kufaidi utamu, ndio hapo ikagundua vijana wa mujini walishagusa nonino kwa sana tu. Njemba mpaka kesho kutwa ikikamata masanga na kuwa safi humlalamikia mkewe kwa kumdanganya nonino bado mma kumbe!!!! Mujini hapa Mkuu unaweza ukaingizwa mujini nonino haijaguswa kumbe kuna njemba inajipinda kwa raha zake lol!!!

 

well that brings me to another and very important point...trust no woman on this earth apart from ur mother!!!
 


Baraka Roman, jicho la tatu ni lipi hilo?
 

Hahahahaha utapata usihofu
 
Huyo mdada nae alikuwa na uongo wa kijijini maskini! Angemuona Smile akapelekwa kutia seal ya kiarabu kariakoo. Kitu mma inabidi kuongeza njia na mkasi la sivyo huchungulii ndani. Chezeiya mjini!
 
Last edited by a moderator:
Dont you even trust you mom, sugar boy!
Akikuambia baba uliemfikiria ni wako, siye hukawii kuzimia. Huwa njiogopa nahisi kama nna damu ya kihindi ndani yangu japo baba mmatumbi!
well that brings me to another and very important point...trust no woman on this earth apart from ur mother!!!
 
Dont you even trust you mom, sugar boy!
Akikuambia baba uliemfikiria ni wako, siye hukawii kuzimia. Huwa njiogopa nahisi kama nna damu ya kihindi ndani yangu japo baba mmatumbi!

mhm hiyo itakuwa imekula kwake mzee sio mie
 

Hahaha! hahahaha! hhahaha! hahaha! we lisa ww!
 
Za mchina zilikuwa hazijawa popular kama ilivyo sasa, siku hizi pochi lako tu!!! Chezeya mujini weye!!!!

Huyo mdada nae alikuwa na uongo wa kijijini maskini! Angemuona Smile akapelekwa kutia seal ya kiarabu kariakoo. Kitu mma inabidi kuongeza njia na mkasi la sivyo huchungulii ndani. Chezeiya mjini!
 
Huyo mdada nae alikuwa na uongo wa kijijini maskini! Angemuona Smile akapelekwa kutia seal ya kiarabu kariakoo. Kitu mma inabidi kuongeza njia na mkasi la sivyo huchungulii ndani. Chezeiya mjini!
hahahahaha nami huwa nasikia zipo za kuchonga . Kama umeweka tumaini lako kwenye bikra inakula kwako.
 
Za mchina zilikuwa hazijawa popular kama ilivyo sasa, siku hizi pochi lako tu!!! Chezeya mujini weye!!!!
Mjini ndio kila kitu . Wanashinwa kutengeneza binadamu mpya tu lkn kwa kurepair hawajambo.
 
Reactions: BAK

hahahaaa hii kali ya mwaka
 

umetisha kaka huo ndio ukweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…