Professor , Mimi sijasema uislamu ulianzishwa na wakatoliki ni wewe ndiye uliyesema , na ulipoombwa ushahidi ukatuletea link ya crusade
Sasa unazidi kutuonyesha ilimu yako kubwa kwa kutuomba tuingie quora ,
professor kumbe hiyo quora ndiyo iliyoandika hapa jf kuwa uislamu ulianzishwa na wakatoliki
Professor , Mimi sijasema uislamu ulianzishwa na wakatoliki ni wewe ndiye uliyesema , na ulipoombwa ushahidi ukatuletea link ya crusade
Sasa unazidi kutuonyesha ilimu yako kubwa kwa kutuomba tuingie quora , ???
professor kumbe hiyo quora ndiyo iliyoandika hapa jf kuwa uislamu ulianzishwa na wakatoliki ???