leodigardcyrilo JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 3,408 Reaction score 1,820 Jan 17, 2019 #201 Unaukika Sent using Jamii Forums mobile app
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,512 Jan 17, 2019 #202 coscated said: Vipi yule mdau mwenye lafudhi ya kichagga anayemchana mhe. Rais alikamatwa? Maana siku hizi sioni video zake YouTube Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huyo sijajua labda nayeye kapewa alichokuwa anakitaka.
coscated said: Vipi yule mdau mwenye lafudhi ya kichagga anayemchana mhe. Rais alikamatwa? Maana siku hizi sioni video zake YouTube Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huyo sijajua labda nayeye kapewa alichokuwa anakitaka.
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,434 Reaction score 59,295 Jan 17, 2019 #203 Mgugu said: Uongo mwingine banaaaa kama vile unajitoa ufahamu Sasa hio miaka ya 1960 hili kundi la hao wahuni lilikuwepo? Hapa umetuthibitisha kua wewe ndio unajua historia kwelikweli. Maendeleo hayana chama Click to expand... Shangaa na wewe Mwisho atasema wamekamatwa na iPhone walizokuwa wanatumia miaka ya 60 haha Sent from my SM using Tapatalk
Mgugu said: Uongo mwingine banaaaa kama vile unajitoa ufahamu Sasa hio miaka ya 1960 hili kundi la hao wahuni lilikuwepo? Hapa umetuthibitisha kua wewe ndio unajua historia kwelikweli. Maendeleo hayana chama Click to expand... Shangaa na wewe Mwisho atasema wamekamatwa na iPhone walizokuwa wanatumia miaka ya 60 haha Sent from my SM using Tapatalk
M Mazindu Msambule JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 7,508 Reaction score 6,888 Jan 18, 2019 #204 Hammaz said: Kwa hiyo kama mama yako kafiri unamuua? Click to expand... Sina hakika kama hata umeelewa nilichao andika, rudia tena kunisoma then changia tu mkuu!?
Hammaz said: Kwa hiyo kama mama yako kafiri unamuua? Click to expand... Sina hakika kama hata umeelewa nilichao andika, rudia tena kunisoma then changia tu mkuu!?
Hammaz JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 7,035 Reaction score 15,332 Jan 18, 2019 #205 Mazindu Msambule said: Sina hakika kama hata umeelewa nilichao andika, rudia tena kunisoma then changia tu mkuu!? Click to expand... Ungelitumia kidogo tu sehemu ya akili yako ungelielewa swali langu.
Mazindu Msambule said: Sina hakika kama hata umeelewa nilichao andika, rudia tena kunisoma then changia tu mkuu!? Click to expand... Ungelitumia kidogo tu sehemu ya akili yako ungelielewa swali langu.