Mjue komando Ali Mahfoudh

Hkn mtawala ambae hajauwa kaka, ili utawale lzm uuwe kuwaogopesha wengine. Karbia asilimia kubwa ya dhahama iliyokaikumbwa znz huyo bwana ndio alikuwa injinia. Je hapo wasemaje?
Nitajie hapa Wazanzibar aliowaua Nyerere? Dogo umezaliwa miaka ya 2000 jitahidi kusoma historia sahihi na siyo hizo mnadanganywa kwenye vijiwe
 
Sijaelewa pale mwandishi anaposema jamaa aliwekwa kizuizini kuanzia 1972 hadi 1978 na kwenye aya nyingine anasema baada ya mbinyo mkali wa Amnesty International yeye na wenzake wakaachiwa April, 1972.
Ni hapa ndipo nlipogundua kua hii ni 🍵 ☕️ 🫖
 
Kuna siku Ghassany alikuwa anazungumza na Wazanzibari/ Watanzania wanajadili suala hili. Ilikuwa wanajadili kitabu ma kesi ya mke wake Mahfoudh ilivyoenda.

Hitimisho la wengi, pamoja na Sheikh Ghassany mwenyewe, lilikuwa kwamba Mahfoudh hakuhusika kifo cha Karume ila SMZ ilimuona hatari tu akaunganushwa.

Pengine ndiyo sababu Nyerere hakutaka auawe.
 
Nyerere aliokoa wazanzibar wengi baada ya kugundua tabia ya Karume ya chinjachinja, alifanya kosa kumrudisha Hanga lakini wazanzibar wanamwona Karume ni shujaa huku Nyerere ni adui. Ndio maana Nyerere aliwahi kutoa kauli angekuwa na uwezo angevisukumia mbali visiwa vya Zanzibar
 
Hiyo kauli ya mwisho sijawahi kuisikia popote. Hebu weka ushahidi hapa
 
Umri wangu ni 65, ni retired civil servant. Najuwa mengi ila hiyo sijawahi kuisikia. Just respond politely without derogatory sentiments
NAkubali umri umenizidi ila navyojua wengi wameanza kufatilia siasa baada ya mfumo wa vyama vibgi, sisi wengine tumezaliwa ndani ya siasa kuna mengi tunayajua hatuyasemi.
 
NAkubali umri umenizidi ila navyojua wengi wameanza kufatilia siasa baada ya mfumo wa vyama vibgi, sisi wengine tumezaliwa ndani ya siasa kuna mengi tunayajua hatuyasemi.
Kwenye hilo la ZNZ umedanganya
 
Umri wangu ni 65, ni retired civil servant. Najuwa mengi ila hiyo sijawahi kuisikia. Just respond politely without derogatory sentiments
Katafute kitabu kilichoandikwa na William Edgett Smith kinachoitwa We Must Run While They Walk kilimnukuu Mw. Nyerere akisema kama angeweza, angekisukuma kisiwa cha Zanzibar katikati ya bahari ya Hindi kwa kuhofia kuleta matatizo Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…