Unamuasa R
Unamuasa Rais ajitathmini?? Hivi hayo uliyoandika hapo juu ni MALALAMIKO YAKO NA KUTOKURIDHIKA KWAKO au ni Ushauri wenye tija?? Mimi naona ni malalamiko tu ambayo hayana ushauri wowote wa maana. Unaona raha tu kuandika na kulalamika, hivi wewe binafsi umekua na mchango gani katika maendeleo ya nchi yako katika kipindi cha miezi 5 iliyopita??
Hahahahah Mjomba Magu naona yupo ulingoni... Kadiri dakika za mchezo zinavyozidi yoyoma anagundua si rahisi.....mie mzima najishangalia tu ya mjomba Magu.
BTW mfikishie salam mwambie hata wa ule ukanda uso wa dunia unapoinukia awakumbuke
Mwambia Mbwiga huyopunguza presha, kama karusha jiwe hebu we lete point kwa hilo, acheni maneno ya kwenye kanga
changia maada kama unazani kunamahari kakosea lekebisha kwa dondoo zilizo na mashiko
mwongo hana mbio ndefu ila ukweli kila mara unashinda.
kuonesha hasira na huku husemi chochote juu ya maada ni ujinga na upumbuvu wa kilofa
elimika
Tupatie hizo data zenye uhakika ambazo wewe unazo!Una uhakika na data zako?
Jaman Watanzania tumepata raisi mzuri Africa nzima wanaona juhudi zake.. Tumpe ushirikiano wa kutosha
Mtoa maada nimekuelewa lakini nikutoe wasiwasi tupo na dira nzuri tumpe muda raisi anachukia rushwa sana.. Tumwombee raisi amejipa kazi ngumu atapigwa hadi na chama chake
Unamuasa R
Unamuasa Rais ajitathmini?? Hivi hayo uliyoandika hapo juu ni MALALAMIKO YAKO NA KUTOKURIDHIKA KWAKO au ni Ushauri wenye tija?? Mimi naona ni malalamiko tu ambayo hayana ushauri wowote wa maana. Unaona raha tu kuandika na kulalamika, hivi wewe binafsi umekua na mchango gani katika maendeleo ya nchi yako katika kipindi cha miezi 5 iliyopita??
Una watoto wanne juma, hamisi, samia na hasani. Juma ana familia yenye jumla ya watu 3, ambao ndio wanamtegemea yeye, hamisi watu 4, samia 7 na hasani 12. wote wana kipato lakini vipato ambavyo si sawa. Na msaada wanaohitaji toka kwako ni tofauti. Juma yeye anahitaji kiasi fulani tu toka kwako ili aagize gari binafsi V8, Hamisi yeye anahitaji kiasi kidogo tu umjazie aende kuspend likizo yake na familia yake uengereza, samia yeye anahitaji kiasi fulani ili watoto waende shule (ada ya watoto) na hasani yeye anahitaji msaada wa chakula kwa ajili ya familia. Je utawezaje kuwasaidia juma na hamisi kwanza na kuwaacha samia na hasani? Haiwezekani.
Hicho ndicho anachokifanya magu.
Rais anafamilia ya namna hii.yani watanzania ambao kipato Chao ni kikubwa na wanajitosheleza, watanzania ambao kipato chao ni cha kati, watanzania ambao kipato chao ni kidogo na ambao kipato chao ni kidogo sana. Kuna kundi la wafanyabishara wakubwa, kuna kundi la vigogo wa serikali, kuna kundi la vijana ambao hawana ajira na kuna kundi la watanzania masikini sana. Ni kundi lipi linapaswa kuwekewa kipaumbele? Ni kundi lipi linahitaji msaada kwa haraka?
Hayo ndio maswali anapaswa kujihoji na kujitathimini ndugu mjomba. Sasa sijui ni malalamiko yangu au ni ushauri wangu kwake, labda ujitathimini pia utapata majibu.
Ninaishi Tanzania, kile ninachokipata, ndo hicho kinachukuliwa kwa jina la kodi na kuchangia maendeleo ya taifa langu ambayo ni ya kusadikika.
Jaman Watanzania tumepata raisi mzuri Africa nzima wanaona juhudi zake.. Tumpe ushirikiano wa kutosha
Mtoa maada nimekuelewa lakini nikutoe wasiwasi tupo na dira nzuri tumpe muda raisi anachukia rushwa sana.. Tumwombee raisi amejipa kazi ngumu atapigwa hadi na chama chake
Kasomeni, sio mnalia lia tu .punguza presha, kama karusha jiwe hebu we lete point kwa hilo, acheni maneno ya kwenye kanga