Mjini msingi kiuno

tyno

New Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
1
Reaction score
1
MJINI MSINGI kiuno sio mwaume au mwanamke.

Watu wanatumia viuno vyao wanaendesha magari na wanamiliki nyumba na biashara, ukiona unaachwa achwa ovyo jua kuna tatizo la kiuono au papuchi.

Hata kama mwanaume unakibamia ukiweza kutumia vizuri kiuno na maandalizi ya hatari hakuna kuachwa hapo.

Hiyo ndio habari ya mjini.
 
Haya wee,kazi kwetu tusio na viuno!!tunatumia nguvu nyingi na akili nyingi ili maisha yasonge!!!
 
Reactions: kui
Aiseeeeh!
Dah! Mimi kiuno kinanifilisi , maana nikishaanza kupiga viuno basi na viwanja vyote nitataka kwenda na kaunta zote nitataka kumaliza vinywaji.
Wacha nikipumzishe hiki kiuno changu nyumbani , maana kinanibomoa tu zaidi ya kuwa msingi.
 
Hahahaaaa!kiuno kinapumzishwa Kisa kinafilisi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…