Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Iko Mbeya ukitokea Tukuyu kama unakwenda Kyela, baada ya kupita kijiji kinaitwa Ilima ndo kuna njiapanda ya kuingia Kiwira Coal MinesMe hata sipajui yani
Kwa kweli, palikuwa na aina fulani ya maisha ya aina yake paleImebaki magofu
Kwa kweli, kile kiwanda muhimu sana kwa uzakishaji wa umemeKilichobaki sasa pale Kiwira Coal Mines(Stamico) ni muonekano tu kwamba paliwahi kuwa mji mkali. Kamji ka maana enzo hizo. Majengo yemedhoofu na STAMICO wanashindwa kukarabati na kurudisha hali yake ya zamani.
TANPOWERKiwira ndio skendo ya yule Mzee marehemu wa Lupaso?
Palinoga sana miaka hiyo, kulikuwa na maisha ya aina ya Ujamaa fulani hivi, nakumbuka Tancut band walifika pale kutumbuiza, kulikuwa na Ligi daraja la nne pale timu nyingi zilishiriki pale, vikundi vya sanaa vilitumbuiza ule ukumbi unaopakana na dispensary yaani ilikuwa burudani kwa ujumlaNi eneo ambalo siwezi kulisahau
Umetaja TANCUT umenikumbusha na KIMULIMULI JAZZ BAND ya MafingaPalinoga sana miaka hiyo, kulikuwa na maisha ya aina ya Ujamaa fulani hivi, nakumbuka Tancut band walifika pale kutumbuiza, kulikuwa na Ligi daraja la nne pale timu nyingi zilishiriki pale, vikundi vya sanaa vilitumbuiza ule ukumbi unaopakana na dispensary yaani ilikuwa burudani kwa ujumla
Aaah unenikumbusha mbali, sijui kama bado lipo hai, all in all mambo yalikuwa bam bam kwa kiwango chakeUmetaja TANCUT umenikumbusha na KIMULIMULI JAZZ BAND ya Mafinga
Eheee! Yule mfupi bongebonge hivi mwenye kaupara anavaa mawani, ndiye mwenyewe.Kiwira ndio skendo ya yule Mzee marehemu wa Lupaso?
Ni ki mji kiko njiani kipo wilaya ya Rungwe road ya kwenda Tukuyu huko Mbeya.Me hata sipajui yani
Toka Tukuyu kuelekea Kyela mkono wa kulia baada ya mashamba ya kyai (chai).Ni ki mji kiko njiani kipo wilaya ya Rungwe road ya kwenda Tukuyu huko Mbeya.
Lupaso man alijimilikisha kitu na kushindwa kuendelezaKiwira ndio skendo ya yule Mzee marehemu wa Lupaso?