Mji mkuu wa Morocco ni upi, na jiji lake la kibiashara ni lipi?

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Unajua kila nchi huwa mji wake mkuu ambao unaitambulisha nchi hiyo kwa mfano ukifika Tanzania mji mkuu ni Dodoma lakini Jiji la Kibiashara ni Dar es Salaam ni sawa tu na mataifa mengine lakini kumbuka kuna mataifa yana majina magumu sana kwa mafano watu wengi hushindwa kabisa kutofautisha kati ya mji mkuu na jiji la kibiashara katika nchi husika sasa leo nataka tufanye chemsha bongo unaweza ukataja upi mjii mkuu wa Morocco na jiji lake la biashara?.
1767422757624.png

1767422819813.png
 
Mji mkuu ni Rabati
Unajua kila nchi huwa mji wake mkuu ambao unaitambulisha nchi hiyo kwa mfano ukifika Tanzania mji mkuu ni Dodoma lakini Jiji la Kibiashara ni Dar es Salaam ni sawa tu na mataifa mengine lakini kumbuka kuna mataifa yana majina magumu sana kwa mafano watu wengi hushindwa kabisa kutofautisha kati ya mji mkuu na jiji la kibiashara katika nchi husika sasa leo nataka tufanye chemsha bongo unaweza ukataja upi mjii mkuu wa Morocco na jiji lake la biashara?.
 
Mji mkuu wa Morocco ni Rabat, lakini jiji la kibiashara la Morocco ni Casablanca. Casablanca ndiyo jiji lenye uchumi mkubwa zaidi na pia ni kitovu cha biashara na viwanda nchini humo.
 
Back
Top Bottom