Mji mkongwe mwingine kugunduliwa Tanzania

Cardinal06

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
963
326
Mpiga mbizi mmoja anaamini amegundua kile ambacho huenda ni mji mkongwe kutoka pwani ya Tanzania ambao ulimezwa na bahari, kwa mujibu wa taarifa kutoka gazeti la nchini humo Dar Post.

Katika blogu yake Alan Sutton amesema alikuwa kwenye helikopta akielekea kisiwa cha Maffia wakati 'aliona muundo fulani ndani maji'.

Alirudi katika sehemu hiyo na kugundua masalio yenye umbali wa kilomita 3.5
Amekadiria kwamba huenda masalio hayo yana miaka takriban 550.

Hii ni kutokana na kuta za matumbawe - ambazo zina upana wa mita 2.5 na anasema kwa kawaida matumbawe hukuwa kwa milimita 4.5 kwa mwaka.

Chanzo: Millard Ayo
 
Ujuzi tuelewesheni, ina maana hio town ipo ndani ya maji?
 
Naamini itakuwa ni deal kubwa kwa mambo ya utalii? Tatizo hatutasikia coverage yoyote ile.
Waanishi wanataka kuandika vitakavyowapa mkate,ingekuwa kampeni wangeandika habari za mtu ili chooni kuendeke.
Kuandika kuhusu utalii hawatapata faida binafsi,wanaona atafaidi MAGHEMBE.
Na hili ndiyo tatizo jingine la keki ya taifa kufika kwa MBINDE kwa makabwela na makapuku.
 
Back
Top Bottom